Jux, Diamond Platnumz - Sugua

Песня "Sugua" - исполнителя Jux, Diamond Platnumz - скачать в mp3 или слушать бесплатно.

Длительность: 2:23

Прослушано: 15

Жанр:Соул

Клип к песне Sugua




Текст песни

Sensima
Mtoto mpe funguo za bima
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China
Toto, Zipu ka kishungi nimezima
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner, yeah
Santana, santana (guitar)
Kitandani maji maji yanapambana (vita)
Kana inama, kana inama
Kanavyo iokota kama maua sama
Paka rukwili kwili siko peshi (siko peshi)
Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki)
Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi)
Kamenikiri kiri mara murder case
Asa nionyeshe alichokupa mama
Sugua! Sugua! Sugua!
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugu, sugu, sugu
Tai! Ungepanda pini pini ama kitoto
Nikupe kwa chini chini ama kwe ngoko
Goli sabini bini ama kimako
Chenga mwilini lini Johnny Boko
Mbbbrrrookkke!
Udi, udi udi udi (udi)
Katoto kako good good good (good)
Mood, mood mood mood (mood)
Navyo katafuna kama food
Oya katoto yani do salale (eeh, do salale)
Nakapa fishi kambale (eeh, wa kambale)
Whoo! Kibidu bidua (oh, bidua)
Pindu pindua (oh, pindua)
Yani naka chimbu chimbua (oh, chimbua)
Nambandika bandua, oh, dada de
Yani kama gaga limekwama kwenye guu
Sugua! Sugua! Sugua!
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugua (ahaahaaa)
Sugu, sugu, sugu (mama wee)
Oya baby, wakiweka unaweka (weka tuone)
Ukichomoa nachomeka (weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (weka tuone)
Komesha watoto wa town (weka tuone)
Fanya kama unasusa (weka tuone)
Nisogezee kisambusa (weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (weka tuone)
Nikomesha watoto wa town (weka tuone)

Показать текст

Популярные треки

Someone - Vanotek, Denitia
2 Die 4 - Tove Lo
In The Dark - Purple Disco Machine, Sophie and the Giants
#HABIBATI - Пошлая Молли, HOFMANNITA
ИСКАЛА - Земфира

Будьте первым кто оставит комментарий!