Sauti Sol, Nyashinski - Tujiangalie

Песня "Tujiangalie" - исполнителя Sauti Sol, Nyashinski - скачать в mp3 или слушать бесплатно.

Длительность: 3:41

Прослушано: 15

Жанр:Африканская

Клип к песне Tujiangalie




Текст песни

Barua Toka Jaramogi na kenyatta
Wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na disaster
Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na tom mboya ameshika tama
Alituacha kama angali kijana
Je? angekuwa mambo
Yangekua sawa?
Ndivyo Alivyopanga maulana
Deni Mlizowacha bado tunalipa «Tunalipa»
Na tumekopa zingine china
Tukajenga reli pia barabara
Zilizobaki watu wakasanya
So
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa twitter tuna jibizana
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana
Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer
Kushoto fungu la kumi
Sadaka kulia
Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa
Anakula sacramenti
Kabla ya raia
Siku za mwisho zime shawadia
Na revelation inatuambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa twitter tuna jibizana
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana
Michuki alisema tufungeni mikanda
Ona leo twavuna tulicho panda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your bed oh
You lie on it ohh!
Usingizi gani tumelala?
Tuta jua hatu jui
Vision 2030 itabaki ni story
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa twitter tuna jibizana
Tujiangalie «Tujiangalie»
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
Tusake Zetu
Tungali vijana
Mdosi aliniambia
Freedom never comes for free
We vote tribe, ama real cash, ask Boni
Tuna roho mahali hamwezi
Ita gsu plus doggy
World mzima twitter
Kotndio first body
Burn picha si ni waafrika
Black coffee «Annan»
I’m richer than my neighbor but we both in the slum
If the rich always win then
Why should the popular run?
Unless democracy ni word si usema
Only for fun
Tujiangalie «Tujiangalie»
Uh, na hii weekend tuko church
Tunauza sura kabisa
Post ya haga
Huenda poa sana na
Caption ya scripture
Kaa hiyo gospel
Pitisha bag ya sadaka kwa club
Tujiangalie «Tujiangalie»
Uh, traffic madrug ubuy ndai
Traffic mandai zinadrag
Ku admire mwizi amemake it
Story za shamba wamegrab
Mkono nahonga imevaa
Bracelet ya colors za flag

Показать текст

Популярные треки

Someone - Vanotek, Denitia
2 Die 4 - Tove Lo
In The Dark - Purple Disco Machine, Sophie and the Giants
#HABIBATI - Пошлая Молли, HOFMANNITA
ИСКАЛА - Земфира

Будьте первым кто оставит комментарий!